Featured
Loading...

HOT NEWS;Bibi,umri wa 65,ana mimba ya pacha wanne


Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 65 kutoka Berlin Ujerumani ambaye ana watoto kumi na watatu ametangaza kuwa ni mja mzito na pacha wanne.
Kwa mwaka mmoja unusu sasa , bi Annegret Raunigk ambaye ni mwalimu wa kingereza na kirusi amekuwa akijaribu kupata mtoto mwingine kwa njia ya upandikizaji,
Kulingana na vyombo vya habari vya German RTL.
Bibi huyo anasema kuwa alilazimika kuwatafuta watoto zaidi baada ya kitinda mimba wake mwenye umri wa miaka 9 kumsihi umtafutia watoto atakaocheza nao.
Bi Raunigk, ambaye amebeba mimba hiyo kwa majuma 21 sasa anasema kuwa alishtuka kujua kuwa alikuwa amejaaliwa mimba ya watoto 4 wala sio mmoja kama alivyotarajiwa

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts

Popular Posts

© Copyright Right Vision Blog | Designed By Code Nirvana
Back To Top