Mwanamuziki mkongwe Madonna amejijengea sifa ya kutokua muoga katika maswala ya ngono wala ya kijamii.
Lakini alichokifanya mwishoni mwa juma liliwaacha wengi vinywa wazi .
Bibi
huyo mwenye umri wa miaka 56 alishindwa kustahimili mvuto wa
mwanamuziki wa kizazi kipya Drake alipokuwa akimwaga misstari mbele ya
mashabiki wake katika onyesho
la California Coachella


Post a Comment