Featured
Loading...

Siri yafichuka Kumbe ni Ali Kiba Ndio Anaye Mnyima Usingizi Mrembo JOKATE

Lile fumbo tuliokuwa tumefumbiwa na Mwanadada Mrembo na Mjasiria Mali Jokate la mtu kumyima usingizi sababu ya Penzi lake limefumbuliwa na imebainika kuwa mtu huyu ni Mwanamuziki Ali Kiba...

Ila Wadakuz wa Ubuyu wanasema huenda watu hawa ni wapenzi wa siri wa muda mrefu kwani wamekuwa wakionekana pamoja mara kwa mara sehemu za Starehe na Jokate mara kwa mara huenda nyumbani kwa Ali Kiba bila Sababu yoyote....

Baada ya Jipu kupasuka Jokate alihojiwa lakini akashindwa kusema chochote na kuishia kujichekesha tu ,,,

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts

Popular Posts

© Copyright Right Vision Blog | Designed By Code Nirvana
Back To Top