Featured
Loading...

Nimempa Mimba House Girl Hataki Kuitoa Wala Kuondoka Hataki

Miezi kadhaa iliyopita wife alileta house girl mzuri ajabu na mwenye wowowo la kufa mtu. Binti huyu hushinda na kanga moja tu na nyonyo zimechongoka kama bolibo na akiinama kupiga deki shanga zote nje.

Kwa hali hiyo uvumilivu ukanishinda nikajikuta nimetembea nae mara kadhaa. Juzi ananiambia haoni siku zake, nimemwambia nimpe pesa akatoe amekataa anaogopa kufa.

Tumeongozana hospitali nikathibitisha ni kweli mjamzito. Nikamuomba kwa usalama wa ndoa yangu aondoke, hataki.
Nimemuahidi nitampa mtaji aondoke, hataki anataka nimpangishie sehemu awe mpango wa kando jambo ambalo silitaki.

Kuna mwenye jawabu hapa nifanye nini

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts

Popular Posts

© Copyright Right Vision Blog | Designed By Code Nirvana
Back To Top