1.Demu wako wa zamani
Ni vizuri
kutorudia mahusiano ya zamani na zaidi kama kwenye mahusiano yenu ya
mwanzo mambo hayakuishia kwa uzuri. Sababu kuu ya msingi, kiukweli ni
kwamba hakikamwanzoni mlikuwa hamuendani na ndio sababu ya iliyopelekea
kuvunjika kwa mahusiano yenu, ndani ya hizo sababu kuna vitu
vilivyopolekea kutokea kwa hayo, ukichunguza na kuziangalia kwa makini
utagundua ni za asili na ambazo si rahisi kwa mmoja wenu kuzibadilisha
sababu ni vitu au mambo ambayo yatakuwa ni ya damuni.
Kuwa mbali nao,
labda kama unatakasalio lako limalizike pasipo wewe kujifahamu. Naamini
hili kila mmoja analifahamu na halihitaji darasa zaidi.
Loading...
WASICHANA WA AINA HII NI HATARI SANA KUWA NAO KIMAPENZI
Popular Posts
-
Kocha wa Yanga, Hans van der Pluijm, amejigamba kikosi chake ni kipana na kinaweza kupambana kwenye mazingira tofauti iwe kwen...
-
Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amejikuta akidondosha machozi ya uchungu baada ya shabiki mmoja kujitokeza kwenye mtandao wa kijamii n...
-
Muigizaji maarafu wa filamu nchini Tanzania,Wema Sepetu alizomewa kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram baada ya kuweka picha ya mlimbw...


Post a Comment