Featured
Loading...

TAZAMA HAPA Ratiba ya Ligi Kuu ya Uingereza.


Ligi Kuu ya Uingereza itaendelea wikiendi hii kwa michezo ya mzunguko wa 33 inayochezwa kwenye viwanja mbalimbani tofauti nchini humo.
Kila timu inaonyesha kujiandaa kufanya vizuri katika kuhakikisha inapata matokeo mazuri ili kujiweka kwenye nafasi nzuri kwenye msimamo wa Ligi hiyo yenye ushindani wa hali ya juu sana msimu huu.
Chelsea bado wanashikilia usukani wa Ligi wakiwa na pointi 73 huku wakiwa na mchezo mmoja mkononi wakifuatiwa na Arsenal wakiwa nafasi ya pili na pointi zao 66 wakati Leicester City wakiendelea kushika mkia kwa kuwa na pointi 25.
Ifuatayo ni ratiba ya michezo yote ya EPL ya wikiendi hii:
 

Muda Mwenyeji Matokeo Mgeni
Jumamosi
17:00 Crystal Palace vs West Bromwich Albion
17:00 Everton vs Burnley
17:00 Leicester City vs Swansea City
17:00 Stoke City vs Southampton
19:30 Chelsea vs Manchester United
Jumapili
15:30 Manchester City vs West Ham United
18:00 Newcastle United vs Tottenham Hotspur

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts

Popular Posts

© Copyright Right Vision Blog | Designed By Code Nirvana
Back To Top