Hizi
ni baadhi ya picha ambazo staa mrembo Irene Uwoya
ame-share kupitia ukursa wake kwenye mtandao wa Instagram
akiwa jijini Mwanza.
Huu
ulikuwa mtoko wake wa sikukuu ya PASAKA . Mbali ya picha
hizi kusababisha mafuriko ya LIKES na COMMENTS huko
Instagram, sio mbaya nawewe hapa kama mdau ukasafisha
macho na picha hizi na kufunguka chochote kuhusu mtoko huu
wa mrembo huyu ambae anatajwa kama ni mmoja kati waigizaji
warembo zaidi hapa Tz.






Post a Comment