Featured
Loading...

JE WAJUA NI KIPI ALICHOKISEMA WOLPER JUU YA MAISHA YAKE MAPYA? Endelea hapa


https://igcdn-photos-c-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xaf1/t51.2885-15/11098305_1583311998620202_1121050988_n.jpgMungu anajibu maombi kiukweli... Hakuna siku nilioacha kumuomba na asijibu... Asipojibu najua wazi haikua riziki yangu ndo mana haijafanikiwa..Na mwisho unionesha wazi ili niamini haikua riziki yangu...Na nina amini wazi km Mungu akipanga chake mwanadam hawezi ata akeshe anaomba yaani siku zote Mungu usimama kwenye ukweli na kutetea mtu pasipo kujua....Mungu wacha leo niseme miujiza ulionitendea kwa sababu umenitendea km nilivyokuomba🙏Nimeanza kumpenda Wolper kitaaaambo kiasi cha kwamba nikiona magazeti yamemuandika naumiaaa na natamani ningekua na uwezo niyanunue magazeti yote nichome moto...lakini ktk siku zote hizo sikuwahi kuwaza hata siku moja km ntakuja kumuona au kuongea na Wolper hata kwenye simu... Ila nilikua namuomba Mungu kabla sijafa nipate ata sekunde ya kusema nae na ata nikishindwa kusema nimuone hata sura tu ndo nife... lakini ktk mawazo yangu nilikua naamini Mungu si kiziwi wala kipofu cz nilikua real naupendo wangu.... Allahmdulilah ikaja insta nikaweza kuongea nae nikamuelezea jinsi gani nampenda na akanielewa... Hapo ndo niliona kuwa Mungu anajibu na yupo... Nikasema kwakuwa nilikujua humu insta basi pia nitamuonesha upendo wangu humu humu insta nikafungua fanpage ☺Fanpage ndo mpk leo na milele.... watu walinigombanisha na wolper but nililia na Mungu mpk akaonesha kuwa mm si km walivyodhani.... Sasa leo naweka wazi sijaunganishwa na mtu yoyote na wolper bali ni Mungu amenikutanisha nae na kwakuwa yeye ndo amenikutanisha nae naamini yeye ndo atanitenganisha nae km watu walishashindwa... Nasema wazi ata nikija kutokua nae karibu au sijui vp nitaendelea kumpenda na kuumia kwa wale watakao nilizia malkia wangu.... Nampnda sana najua anajua... yaaani i love her to death yani me sijui kipi kitaniacha nae she's my happiness yani uwepo wake unachangia nilale vizuri na nizidi kunenepa 😜😝...Ni hayo tu niwatakie usiku mwema

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts

Popular Posts

© Copyright Right Vision Blog | Designed By Code Nirvana
Back To Top