Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro,
Leonard Paulo, akiwaonesha waandishi wa habari (hawaonekani pichani)
milipuko hatari aina ya ' Water explosives gel ' iliyokamatwa jana
usiku kutoka kwa watuhumiwa tisa waliokuwa wamehifadhiwa ndani ya
msikiti wa Suni uliopo Tarafa ya Kidatu, wilayani Kilombero mkoani
Morogoro.CHANZO http://lukwangule.blogspot.com.
Filed Under:
Kitaifa
Wednesday, April 15, 2015


Post a Comment